Commercialization of the Tanzania's Food systems to catalyze growth and resilience
Mnyororo wa thamani na maelezo ya kina kuhusu mazao ya horticulture — Tier 2
Horticulture ni sekta inayojumuisha matunda, mboga mboga, maua, viungo, na mazao mengine ya kilimo cha biashara. Sekta hii inaajiri takriban watu milioni 2.5 na inalenga kufikia dola bilioni 2 za kimarekani katika mauzo ya nje ifikapo mwaka 2030.
Mnyororo wa thamani wa horticulture unahusisha wakulima wadogo, wakusanyaji, wachakataji, wasafirishaji na wauzaji nje. TAHA ndio chombo kikuu cha sekta kinachowakilisha wadau wote.
Bonyeza zao kuona taarifa za washiriki katika msururu wa thamani